Ebola ni nini?
Ebola ni ugonjwa wa hatari unaosababishwa na virusi. Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kama Homa za virusi zinazosababisha kutoka Damu mwilini. Ugonjwa huu unaathiri binadamu na wanyama kama vile nyani, ngedere, sokwe na popo.
Makala Inayofuata
Average Rating: ☆ ☆ ☆ ☆ ☆ (0 reviews)