Wakati gani mtu akapate matibabu?
Nenda haraka kwenye kituo cha kutoa huduma za afya pindi unapohisi kuwa na dalili za ugonjwa wa Ebola, au unapogusana na mtu mwenye dalili za ugonjwa wa Ebola. Na pia, ni muhimu kutoa taarifa haraka kwenye kituo cha huduma za afya kilicho karibu nawe pindi unapohisi mtu ana dalili za ugonjwa wa Ebola.
Makala Inayofuata
Average Rating: ☆ ☆ ☆ ☆ ☆ (0 reviews)